26 Januari 2015

MAHITAJI MUHIMU KWA KIDATO CHA MAANDALIZI - 2015

Mwanao anapaswa kuripoti shuleni siku ya Jumamosi, tar. 7 Februari 2015 saa 3 asubuhi. KARO: Mang'ola -- sh. 300,000/- kwa mwaka Nje ya Mang'ola -- sh. 400,000/- kwa mwaka NB: KARO INAWEZA KULIPWA KWA AWAMU. Karo ilipwe kupitia moja ya akaunti zifuatazo: Exim Bank – Karatu A/C No. 0120005247 Anna Gamazo SS NBC Bank – Karatu A/C No. 045201010908 Anna Gamazo SS MICHANGO:  Sh. 165,000/-...

20 Machi 2014

Nafasi za Kidato cha Tano 2014

programu ya a-level Masomo ya kidato cha Tano na Sita shuleni yalianza miaka mitano hivi iliyopita. Mpaka sasa tunatoa michepuo ifuatayo ya sanaa, HGL, HKL, na HGK kukiwa na uwezekano wa kuwa na michepuo ya CBG, EGM na HGE endapo idadi ya wanafunzi wataoomba itawa nzuri. Matokeo ya shule kwa mitihani...